Blueberry Anti-aging Capsule
Viambato:
Blueberry Extract, Fructus Lycii Extract, Radix Puerariae Lobatae Extract, Radix Astragali Extract
Kazi Na Faida Zake
- Kusimamia utendaji kazi wa mwili, kuuimarisha mwili na kuongeza uwezo wa mwili wa kupambana na maradhi, kupunguza kasi ya kuzeeka kwa mwili na kurefusha maisha, kudumisha mwonekano wa ujana
- Kusafisha damu, kuweka sawa kiwango cha sukari, kupunguza cholesterol, kuzuia kuziba kwa mishipa ya damu na kupoteza kumbukumbu kwa wazee
- Kuongeza uwezo wa kujikarabati wa DNA za mwili
- Kuboresha shughuli za kimetaboliki za mwili, na kuondoa sumu mwilini.
Yafaa Kwa:
Watu wenye umri unaozidi miaka 25, na hasa
- Wazee
- Watu wa umri mkubwa wenye afya mbaya
- Watu walio kwenye hali ya kupona baada ya maradhi makubwa
- Watu wenye wenye kinga ndogo za mwili na wenye afya dhaifu
Maelezo Muhimu:
Mmea wa blueberry una anthocyanins za aina tofauti zaidi ya 15. Anthocyanin ni kiambato maalumu ambacho hakipatikani katika mimea mingine. Anthocyanins huundwa na molekuli ndogo sana ambazo huyeyuka kwenye maji. Huweza kupenya kwenye ukingo wa damu na ubongo na kuzuia ubongo usiathiriwe na oksijeni, kuzuia madhara ya radikali huru na kuongeza kinga za mwili. Anthocyanins huondoa sumu kwenye damu na mfumo wa utumbo, huzuia kuzeeka kwa mwili na uchangukaji wa seli.
Fructus Lycii Extract
Tabia ya kuzuia kuzeeka ya Fructus Lycii Extract inatokana na kuamsha na kufufua seli za ubongo na tezi za endocrine na kuondoa sumu zilizojikusanya ndani ya damu hivyo kuurudisha utendaji kazi wa kawaida wa tishu na viungo vyote vya mwili.
Radix Puerariae Labotae Extract
Flavonoids zilizomo ndani ya Radix Puerariae Labotae Extract zina uwezo wa kuodoa mabaki ya shughuli za kimetaboliki, kuuboresha mwili na uwezo wa mwili wa kuyashinda maradhi, kupunguza kasi ya kuzeeka kwa mwili, kurefusha maisha na kudumisha mwonekano wa ujana.
<<<<< MWANZO